
POST | MLEZI WA WATOTO MSAIDIZI (CHILD CARE ASSISTANT) – 1 POST |
EMPLOYER | Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi |
APPLICATION TIMELINE: | 2024-11-08 2024-11-21 |
JOB SUMMARY | NA |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i. Kushiriki kutekeleza mpango jumui wa Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya watoto, (ECD integrated plan);
ii.Kuandaa na kutekeleza ratiba ya shughuli za kila siku katika kituo husika; iii.Kubainisha na kutumia mazingira salama ya kujifunzia watoto; iv.Kutoa rufaa ya masuala ya watoto yaliyo nje ya uwezo wake; v.Kutambua watoto wenye mahitaji maalumu na kutoa huduma stahiki; vi.Kushiriki katika uhamasishaji wa jamii katika kutoa huduma za malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto; vii.Kutoa ushauri kwa wazazi/walezi kuhusu malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya watoto katika eneo lake; viii.Kuandaa na kutoa taarifa ya utekelezaji wa shughuli za kila siku katika eneo husika; ix.Kushiriki kwenye mchakato wa uendeshaji wa mashauri ya watoto katika ngazi husika (case management); x.Kuandaa taarifa ya uanzishaji wa vituo vya malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto katika maeneo husika; na xi.Kufanya kazi nyingine yoyote atakayopangiwa na Mkuu wake wa kazi kulingana na elimu na ujuzi wake. |
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au kidato cha sita waliohitimu mafunzo ya Astashahada katika mojawapo ya fani zifuatazo:- Elimu ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto, Ustawi wa Jamii, Saikolojia kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali. |
REMUNERATION | TGS B |