
POST | MHUDUMU WA JIKONI DARAJA II – 4 POST |
EMPLOYER | Halmashauri ya Manispaa ya Iringa |
APPLICATION TIMELINE: | 2024-11-19 2024-12-02 |
JOB SUMMARY | N/L |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i.Kusafisha vyombo vya kupikia
ii.Kusafisha vyombo vya kulia chakula iii.Kusafisha sehemu ya kulia chakula iv.Kuwatayarishia Wapishi/Waandazi vifaa vya kazi v.Kusafisha maeneo ya kupikia |
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa wahitimu wa Kitado cha IV wenye cheti cha mafunzoya mwaka mmoja ya Uhudumu wa Jikoni kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali |
REMUNERATION | TGOS A |