
POST | AFISA RAMANI II (MAPPING OFFICER II) – 8 POST |
EMPLOYER | Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi |
APPLICATION TIMELINE: | 2024-12-07 2024-12-17 |
JOB SUMMARY | NIL |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i. Kuwianisha picha za anga na Ramani.
ii. Kuweka kumbukumbu za picha na Ramani zilizowianishwa. iii. Kutoa huduma kwa wateja na watafiti mbalimbali |
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa wenye Shahada /Stashahada ya juu katika fani ya Upimaji Picha (Photogrammentry) kutoka Vyuo Vikuu au Taasisi nyingine zinazotambuliwa na Serikali. |
REMUNERATION | TGS E |