
POST | FUNDI SANIFU II – UPIMAJI ARDHI (LAND TECHNICIAN SURVEY II) – 26 POST |
EMPLOYER | Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi |
APPLICATION TIMELINE: | 2024-12-07 2024-12-17 |
JOB SUMMARY | NIL |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i. upanga na kuandaa mahitaji ya kambi za upimaji vifaa vya upimajoi na mahitaji ya jumla
ii. Kufanya upimaji wa awali na kusimika ardhini alama za upimaji iii. Kufanya upimaji na kukusanya taarifa na takwimu zote za upimaji iv. Kuchora “Sketch” ya mchoro ya upimaji v. Kufanya mahesabu ya upimaji |
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa wenye stashahada ya kawaida katika fani ya Upimaji wa ardhi kutoka vyuo vinavotambuliwa na Serikali. |
REMUNERATION | TGS C |