
POST | MKAGUZI DARAJA LA II (UKAGUZI WA HESABU) – 21 POST |
EMPLOYER | Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) |
APPLICATION TIMELINE: | 2024-11-13 2024-11-26 |
JOB SUMMARY | OK |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i.Kushiriki katika kuainisha maeneo yanayoweza kufanyiwa ukaguzi na kutunza taarifa zake;
ii.Kushiriki kuandaa mpango wa ukaguzi (Audit Programme) kila mwaka; iii.Kushiriki katika utekelezaji wa mpango wa kazi wa ukaguzi kila mwaka; iv.Kushiriki kufanya tathmini ya mpango wa kazi na kupendekeza mabadiliko inapobidi kulingana na tathmini ya taarifa ya utekelezaji ya mpango wa kazi; v.Kukagua nyaraka za matumizi, maendeleo, amana, wakala, mifuko, miradi maalum na mapato ya Serikali; vi.Kutayarisha hoja na barua za ukaguzi; vii.Kuhakikisha kuwa hoja na barua za ukaguzi zinatolewa na kushughulikiwa kwa wakati unaotakiwa; viii.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na msimamizi wake wa kazi zinazoendana na sifa na fani yake. |
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza ya Uhasibu na Mifumo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Bachelor of Accounting with Information Technology) kutoka vyuo au Taasisi yoyote inayotambuliwa na Serikali.
|
REMUNERATION | SAIS. E |